Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imezuia uongozi
wa vyuo vikuu nchini kuwalazimisha wanafunzi kuingia darasani au kufanya
mitihani kwa siku zao za ibada.
Ingawa hazikutajwa, siku maalum za ibada zilizozoeleka kwa madhehebu mengi ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.
Agizo la Serikali limetolewa na C.P. Mgimba kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
↧