Miss Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna
Maulid ameonesha kuwa ni sikio la kufa baada ya kupiga picha za utupu
kwa mara nyingine.
Picha hizo zilizotapakaa kwenye mitandao
mbalimbali zimewashangaza watu ambapo Husna anaonekana akiwa kama
alivyozaliwa huku akiwa katika mapozi tofauti hali inayoonesha kwamba
alikuwa akipigwa picha hizo na mpenzi wake.
↧