MISS Tanzania 2006/07
ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful
Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga
aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’.
Akizungumza na Amani katika mahojiano maalum jijini Dar, juzikati,
Wema alianza kwa kufunguka kwamba, kuna watu wamekuwa wakizungumzia ishu
ya yeye
↧