Mshauri wa Rais Uhuru: Mauaji ya Kenya Yanalenga Kuzua Uhasama wa Kidini
Baadhi ya miili ya abiria waliouawa juzi na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya. Basi lililotekwa na Al-Shabaab eneo la Mandera likiwa njiani kuelekea Nairobi. Wanajeshi wakiwa eneo la tukio. Baadhi ya...
View ArticleSakata Zima La Mtoto Aliyenusuka Kufa Baada ya Kupewa Kipigo Kizito na...
Habari kutoka Rukungiri, Uganda zinasema kuwa mtoto mdogo wa miaka miwili aliyekuwa mgonjwa, amenusurika kifo baada ya kupata kipigo kutoka kwa dada wa kazi, Jolly Tumuhiirwe (22), aliyekuwa...
View ArticleAgness Masogange: Sina Mpango wa Kurudi Tanzania
Mrembo aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana. Akizungumza na...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleWiki ya SHIDA Bungeni: Saa za Waliobeba Mabilioni ya Pesa IPTL...
Ni wiki ya shida. Wiki hii inatarajiwa kuwa ya vikao mfululizo na mijadala isiyokoma. Ndiyo wiki inayotarajiwa kuuweka hadharani mtikisiko wa tano katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wakati ripoti...
View ArticleJe, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa...
Je una mwili mwembamba na unataka kuongeza na kunenepesha mwili wako ? Umedhoofika kutokana na maradhi mbalimbali na unataka kurejesha afya yako na mwili wako ? Unataka...
View ArticleMdahalo wa Jaji Warioba kufanyika kesho Dar
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeandaa mdahalo maalumu wa Katiba utakaofanyika kesho kwenye Ukumbi wa Mlimani City ambao mzungumzaji mkuu atakuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya...
View ArticleNi mwanamke ndiye aliyelifanya kundi la Wanaume TMK kumeguka!
Kundi la Wanaume TMK aka ‘wazee wa mapanga shaaa’ lilijichukulia umaarufu mkubwa enzi likiwa na members wote waliolianzisha. Hata hivyo kundi hilo lilikuja kuvunjika na kuzaliwa makundi mawili,...
View ArticlePicha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandaoni
Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila...
View ArticleJibu la Diamond la kwanini ametumia tena wazungu kwenye video mpya ‘Ntampata...
Baada ya Diamond kuachia video ya ‘Ntampata wapi’ iliyofanyika Afrika Kusini, amekutana tena na maswali aliyokutana nayo kipindi alipoachia video ya ‘Mdogo mdogo’, ya kwanini amewatumia zaidi wazungu...
View ArticleWatu wenye Albinism nchini wanaogopa kujitokeza kushiriki katika chaguzi...
Shirika linalojishughulisha na watu wenye Albinism la UNDER THE SAME SUN limesema watu wenye Albinism nchini wanaogopa kujitokeza kushiriki katika chaguzi mbalimbali nchini wakihofia usalama wao, huku...
View ArticleRais Kikwete Apokea Salamu za Kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya M rishoKikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama jijini...
View ArticleDully Sykes Atoa Ufafanuzi Kuhusu Wimbo wake uliojaa MATUSI
Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi yasiyoweza kuandikika kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao , msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’...
View ArticleMtoto Aliyezaliwa na Miguu na Mikono Minne India na Kupewa Jina la "Mungu...
Imetokea nchini India baada ya mama mmoja kujifungua mtoto mwenye miguu minne na mikono minne huku akipokelewa na wenyeji kwa furaha kubwa na kuitwa ‘Mungu Mvulana’ .... Mtoto huyo amepewa jina la...
View ArticleAskari wa FFU Apigwa Jiwe Kwa Kombea na Kung'olewa Meno 6 na Wananchi
Kumetokea tukio la aina yake katika mgodi wa madini ya almasi wa Mwadui uliopo katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ambapo askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia wa jeshi la polisi mkoa wa...
View ArticleWatu 9 wafariki dunia na wengine tisa wajeruhiwa katika ajali mkoani Shinyanga.
Watu tisa wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Hiace kutoka mjini Kahama kuelekea mjini Shinyanga kupinduka katika eneo la Buhangija...
View ArticleMbunge Felix Mkosamali afikishwa mahakamani
Mbunge wa jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma kupitia chama cha NCCR Mageuzi Felix Mkosamali amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Kibondo akituhumiwa kumzuia karani mwandikishaji...
View ArticleMgogoro wasababisha wanafunzi 400 kuacha masomo na 10 kupata mimba,mkoani...
Wanafunzi 387 wa vijiji vya kata ya nambisi wilayani mbulu mkoani manyara wanaosoma katika shule ya sekondari ya kata ya Murray wamelazimika kuacha masomo baada ya kushindwa kutembea umbali mrefu wa...
View ArticleRaia wa Kigeni ajeruhi sita kwa Risasi Zanzibar
Jeshi la polisi Zanzibar linawashikilia raia wawili wa kigeni baada ya kukutwa na silaha na risasi kinyume na sheria huku mmoja ya raia huyo wa ufaransa amewajeruhi watu sita kwa kuwapiga risasi...
View ArticleKatiba Inayopendekezwa Haifai - Jaji Warioba
Baadhi ya wajumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba wameitaka serikali ichapishe kwa wingi na kuzisambaza kwa wananchi nakala za katiba pendekezwa, ili wananchi waisome, waitafakari na...
View Article