Watu tisa wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya baada ya
gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Hiace kutoka mjini Kahama
kuelekea mjini Shinyanga kupinduka katika eneo la Buhangija kona kwenye
barabara kuu ya lami ya Tinde – Shinyanga.
Wakizungumza na mwandishi wetu, mashuhuda wa ajali hiyo na majeruhi wamesema
imetokea muda wa saa 4.30 asubuhi wakati dereva wa gari
↧