Kumetokea tukio la aina yake katika mgodi wa madini ya almasi wa Mwadui
uliopo katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ambapo askari polisi wa kikosi
cha kutuliza ghasia wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga Pc Idd
Makame(25) amejeruhiwa vibaya mdomoni kwa kung’olewa meno sita baada ya
kupigwa jiwe kwa kutumia kombeo (kwa lugha ya kisukuma Nh'ago) na watu
wanaodaiwa kuwa ni wachimbaji
↧