Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz
na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na
kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila ‘denda’
imesambaa mtandaoni.
Zari na Diamond walianza kutawala vichwa vya habari wiki mbili
zilizopita baada ya kupost picha wakiwa kwenye ndege wakitokea Afrika
Kusni kuja Tanzania.na
↧