Baada ya Diamond kuachia video ya ‘Ntampata wapi’ iliyofanyika Afrika
Kusini, amekutana tena na maswali aliyokutana nayo kipindi alipoachia
video ya ‘Mdogo mdogo’, ya kwanini amewatumia zaidi wazungu kwenye video
ya wimbo wake wenye ladha ya Kiafrika.
Hili ndio jibu la Platnumz baada ya kuulizwa swali hilo kwenye kipindi cha Power Jamz kupitia East Africa Radio:
“Kuna kitu kimoja,
↧