Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeandaa mdahalo maalumu wa
Katiba utakaofanyika kesho kwenye Ukumbi wa Mlimani City ambao
mzungumzaji mkuu atakuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Mwenyekiti wa taasisi
hiyo, Joseph Butiku alisema jana kwamba mdahalo huo wa amani ni kwa
ajili ya Watanzania wenye mapenzi mema na utakuwa wa wazi, ikiwa ni
↧