Mahakama Kuu Yasimamisha Mjadala wa Ripoti ya Escrow Kujadiliwa Bungeni
Jopo la majaji watatu wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam chini ya jaji Radhia Sheikhe limezuia mjadala wa ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow hadi hapo...
View ArticleHakuna wa Kuzuia Escrow Isijadiliwe Bungeni - Anna Makinda
Kufuatia Taarifa za kujadiliwa kwa suala la ufisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow kupelekwa mahakamani ili lisijadiliwe na Bunge, Spika wa Bunge Bi. Anna Makinda amesema hakuna Muhimili...
View ArticleRais Kikwete Kurejea Nchini Novemba 29, 2014
Taratibu za matibabu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, zimekamilika jana, Jumatatu, Novemba 24, 2014. Taratibu hizo za matibabu za Mheshimiwa Rais Kikwete...
View ArticleTweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa kuhusiana na kashfa ya Escrow
…Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi….” -“… Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki...
View ArticleRipoti Ya Escrow.....Leo ndio Leo!!!
Ripoti itakayowasilishwa bungeni hii hapa. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiilinda ripoti hiyo usiku kucha. Wajumbe wa kamati wakiipitia ripoti hiyo kabla ya kuwasilishwa leo...
View ArticleRipoti Ya Escrow Yawasilishwa Bungeni.....Bonyeza Hapa Kuisoma Ripoti hiyo.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali katika Bunge la Jamumuhi ya Muungano wa Tanzania, imewasilisha ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL na kuhusisha uchotwaji wa shilingi bilioni 306 za kitanzania....
View ArticleSakata la Escrow: Kamati ya PAC Yamtaka Waziri Mkuu,Mwanasheria Mkuu, Waziri...
WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa...
View ArticleMaajabu: Mti Mwingine Uliokuwa Umeanguka miaka Mitano Iliyopita WAINUKA...
Lile tukio la ajabu ambalo limestaajabisha wengi la mti ambao ulikuwa umeanguka kwa zaidi ya miaka mitatu kuinuka, limekaa kwenye headline tena ambapo viongozi wa Serikali wamezungumzia hilo huku...
View ArticleBunge laelezwa MAGUNIA yalivyobeba fedha IPTL
WATU mbalimbali na viongozi wa umma waliofaidika na fedha za akaunti ya Tegeta Escrow ya Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, wametakiwa kurejesha fedha hizo, kufilisiwa mali zao na kushitakiwa mahakamani....
View ArticleWatendaji 17 Waswekwa Rumande kwa Kushindwa Kusimamia Agizo la Rais Kikwete...
MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa...
View ArticleKondomu Feki Zateketezwa
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) jana liliteketeza kondomu feki aina ya Mood vipande 601,100 vyenye thamani ya Sh. milioni 29.7 ambazo zimebainika kutengenezwa India. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
View ArticleBaada ya Ishu ya Escrow, haya ni Majibu Mawili ya Waziri Mkuu Pinda ikiwemo...
Kikao cha Bunge leo Novemba 27 kimeanza kwa maswali mawili kuulizwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda. “…Chini ya uongozi wako kama Waziri Mkuu wa...
View ArticleAjali Yaua 11 Tanga
WATU 11 wanadaiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Mkanyageni mkoani Tanga baada ya gari aina ya Toyota Coaster yenye namba za usajili T 410 BJD kugongana na Scania...
View ArticleSakata la Tegeta Escrow: Kikao cha Bunge Jioni Hii
MWENYEKITI ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu: Wananchi wanataka kujua ukweli, na anatoa nasaha zake ili bunge lisilete fujo Tundu Lissu: Anaomba radhi ya kauli ya jana kuhusu...
View ArticleMahakama Kuu Yamuachia Huru Sheikh Ponda Leo
Mahakama Kuu ya Tanzania imemuachia huru aliyekuwa Katibu wa Taasisi za Kiislam, Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kuona hana hatia dhidi ya Kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi...
View ArticleDiamond na Zari Waumbuka
Licha ya madai wanayoyatoa mastaa wawili hot kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady kuwa si wapenzi bali kuna project wanaifanya, wawili hao wameumbuka....
View ArticleWaziri Muhongo Azomewa Bungeni
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amekumbana na wakati mgumu, ikiwa ni pamoja na kuzomewa na wabunge na kukatizwa wakati akitoa maelezo kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya...
View ArticleAskofu Kilaini na Nzigirwa wazungumzia tuhuma za Wizi wa Pesa za Escrow
Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amekiri kupokea Sh80.5 milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa VIP Engeering, James Rugemalira akisema si mara yake kwa kwanza kupokea fedha kutoka kwa...
View ArticleSerikali imesema inatambua VICOBA kama mkombozi wa wanyonge nchini.
Serikali imesema kuwa VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni mwa taasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa, kuendeshwa na kusimamiwa ama...
View ArticleBaraza la Maaskofu lazungumzia 'mgawo wa escrow' kwa Makasisi wake
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) limezungumzia sakata la maaskofu wa kanisa hilo, Methodius Kilaini na Eusebius Nzigirwa kudaiwa kupewa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kusema kwa sasa...
View Article