Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) limezungumzia sakata la
maaskofu wa kanisa hilo, Methodius Kilaini na Eusebius Nzigirwa kudaiwa
kupewa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kusema kwa sasa hawawezi
kuzungumzia suala hilo kutokana na kuwa linagusa watu binafsi.
Limesema
kuwa suala hilo halihusu baraza na inaweza kufanyiwa kazi kwa taratibu
za kanisa kwa kadri uchunguzi
↧