Serikali imesema kuwa
VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni
mwa taasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa, kuendeshwa na
kusimamiwa ama kijijini, kitongojini na hata kwenye kata.
Hayo yamebainishwa leo
Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akijibu
swali la Mbunge wa Rungwe Magharibi Prof. David
↧