Siku moja baada ya Kamati ya PAC kuweka hadharani uchunguzi wa
Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu
Akaunti ya Tegeta Escrow, watu wa kada mbalimbali wamependekeza hatua
kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya wahusika.
Zanzibar
Viongozi
wa upinzani Zanzibar wamesema wote waliotuhumiwa kuhusika na vitendo
vya ufisadi kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow
↧