Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Kila Kona Wanataka "Watuhumiwa" Escrow Wafilisiwe

Siku moja baada ya Kamati ya PAC kuweka hadharani uchunguzi wa Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, watu wa kada mbalimbali wamependekeza...

View Article


Tibaijuka: ''Nilipokea Pesa za Escrow''

Mjadala kuhusu kashfa ya uchotaji wa mamilioni ya fedha katika akaunti ya ESCROW ya Benki Kuu ya Tanzania umezidi kuunguruma nchini Tanzania kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za...

View Article


Mjadala wa Sakata la Akaunti ya Escrow Leo Bungeni

Nchambi: Anailaumu serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO (Mkono) alishauri kufunguliwa akaunti (ananukuu maandiko ya...

View Article

Mbunge Lugola Awavunja Wabunge Mbavu Baada ya Kuomba Kuvaa Kininja ili...

MBUNGE wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba kuchangia huku akiwa amevaa 'Kininja' ili...

View Article

Bunge "Lawaka Moto" baada ya Freeman Mbowe naye kuhusishwa na Mgawo wa Pesa...

Kuliibuka  Majibishano  Makali  Bungeni  baada  ya  Mbunge  Assumpta (CCM)  Kumtaja  Freeman Mbowe  kuhusika  na  mgawo  wa  pesa  za  Escrow, hali  iliyomfanya  John  mnyika  asimame  na  kumtaka...

View Article


Wananchi wagoma kujiandikisha kupiga Kura

Wakazi zaidi ta 350 wa vijiji vitatu vilivyopo kata ya Maere jijini Tanga wamelalamikia zoezi la kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kufuatia kituo walichozoea kujiandikisha katika chaguzi...

View Article

Aunty Lulu Asimulia Alivyobakwa

Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefungua kinywa na kutoa la moyoni akisimulia tukio baya lililowahi kumkuta la jinsi...

View Article

Aibu: picha Chafu za Lulu wa Y-Tone zavuja mtandaoni

Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na simu za kupangusa....

View Article


UKAWA Wachafua Hali ya Hewa Bungeni Baada ya Kugoma Wakishinikiza Waziri...

Vurugu  za  aina  yake  ziliibuka  Bungeni  jana  usiku   baada  ya  UKAWA  Kugoma  kuendelea  na  mjadala  wa  Bunge  wakishinikiza  Waziri  Muhongo  awajibishwe.... Vurugu  hizo  ziliibuka  baada...

View Article


Habari kwa Kina Kuhusu Vurugu Zilizoibuka Jana Bungeni na kupelekea Bunge...

Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo.    Vurugu hizo zilianza saa 04:42 usiku hadi saa 04:49 usiku wakati Spika Anne Makinda...

View Article

Lowassa aomba watu wapuuzie akaunti ya Twitter yenye jina lake

Toka bunge limeanza mjadala wa kadhia ya Escrow account, kuna mtu au kikundi kwa sababu wanazozijua wao wenyewe wameanzisha akaunti ya mtandao wa Twitter kwa jina la Edward Ngoyai Lowassa,...

View Article

Haya hapa majina yaliyoteuliwa na PAC kuandika maazimio ya kuwawajibisha...

Baada ya Spika wa Bunge kuahirisha Bunge mara mbili siku ya leo Novemba 29 ili kuipa nafasi kamati ya PAC iweze kufanya marekebisho ya maneno yaliyoandikwa kwenye maazimio yaliyowasilishwa na Kamati...

View Article

Helikopta ya Maliasili (TANAPA) Yadondoka jijini Dar....Watu Watano Wakiwemo...

Helikopta ya Maliasili (TANAPA) imedondoka maeneo  ya Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar na kuua watu wote watano wakiwemo rubani na Polisi.     

View Article


Rais Kikwete Atua Dar Es Salaam Leo Akitokea Marekani Kwenye Matibabu

Rais Jakaya Kikwete amesema amepona saratani baada ya kufanyiwa upasuaji mapema mwezi huu nchini Marekani.   "Niligundulika kuwa na hatua ya pili ya saratani ya kibofu, ambayo baadaye ikaonekana kuwa...

View Article

Bunge Laazimia Muhongo na Wenzie Wawajibishwe Kutokana na Kashfa ya Wizi wa...

Bunge limeazimia waziri wa nishati na madini Mhe.Prof Sospeter Mhongo,Waziri wa ardhi Prof. Anna Tibaijuka,Mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredrick Werema na katibu mkuu wa wizara ya nishati na...

View Article


Hotuba ya Waziri Mkuu Pinda Aliyoitoa Wakati wa Kuhitimisha Shughuli za Bunge...

I:          UTANGULIZI                                      a) Masuala ya jumla Mheshimiwa Spika, 1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni...

View Article

Diamond Platnumz Anyakua Tuzo Tatu za Channel O Music Video Awards 2014 (...

November 29, haitakumbwa kwenye maisha ya Diamond Platnumz na familia yake pekee, bali pia kwenye muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, baada ya hitmaker huyo wa ‘Number One’ kunyakua...

View Article


Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’..... Zari achukua nafasi yake rasmi,...

It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa...

View Article

Hiki ndicho alichokiongea yule Hausigeli ( Dada wa kazi ) aliyempiga Mtoto...

Baada ya habari  za yule msichana  anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye...

View Article

Big Brother Africa: Mshiriki wa Tanzania Afanikiwa kuingia Fainali za...

Habari ikufikie kutoka ndani ya jumba la Big Brother Africa #BBA9_Hotshots kwamba November 30 2014, washiriki wengine Wanne wametolewa kwenye jumba hilo na kufanya game iendelee kunoga.   Goitse...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>