It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena.
Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa
kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa
ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’,
awamu hii ameitwa ‘kaka’.
“Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must
say he did
↧