Baada ya habari za yule msichana anayefanya kazi za ndani Uganda
kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo
kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo.
Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe ambaye kwa sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu iliyomfanya amtese mtoto Arnella Kamanzi, ni kutokana na kuchanganyikiwa baada ya waajiri wake
↧