Habari ikufikie kutoka ndani
ya jumba la Big Brother Africa #BBA9_Hotshots kwamba November 30 2014, washiriki wengine Wanne wametolewa kwenye jumba hilo na kufanya game iendelee
kunoga.
Goitse mshiriki wa kutoka Botswana, Ellah mwakilishi kutoka Uganda, Sheillah mwakilishi wa Botswana na Trezagah kutoka Msumbiji ndio washiriki walioyaaga haya mashindano Novemba 30 2014.
Idadi ya
↧