Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura
Mbibo ‘Jide’ ameanika kisa cha kummwaga mumewe, Gardner Gabriel Habash
‘Kaptein’ akieleza mateso aliyokutana nayo kwenye ndoa yao.
Akizungumza na Kituo cha Radio Times FM cha jijini Dar, wikiendi
iliyopita, Jide alifunguka kuwa yeye ndiye aliyeamua kummwaga Gardner.
Katika mahojiano hayo, Jide alisema kwamba alikuwa
↧