Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Lady Jaydee Aanika Kisa cha Kuachana na Gardner

Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ameanika kisa cha kummwaga mumewe, Gardner Gabriel Habash ‘Kaptein’ akieleza mateso aliyokutana nayo kwenye ndoa yao....

View Article


Askari wa JKT akutwa mferejini akiwa kalewa chakari .....Pombe Ilipozidi...

Katika hali isiyotegemewa askari mmoja wa jeshi la kujenga Taifa (JKT) anayesadikika kuwa ni wa kambi ya Mafinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa usiku wa jana amenusurika kuvuliwa nguo za jeshi...

View Article


Kumalizika kwa Sakata la "Escrow", waumini waliombea Taifa

Baada ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kumaliza mjadala wa sakata la Escrow, maelfu ya waumini wa madhehebu mbalimbali mkoani Arusha wamefanya ibada maalumu ya kuliombea taifa amani na pia...

View Article

Leo ni Siku ya UKIMWI Duniani...Njombe Yaongoza kwa maambukizi

Ikiwa leo ni siku ya UKIMWI, Duniani ambapo Tanzania Kitaifa siku hiyo inafanyika Mkoani Njombe Juhudi za kupambana na maambukizi ya ukimwi mkoani humo zimezidi kushika kasi kutoka katika mashirika...

View Article

Zitto, Filikunjombe wadai waziri Lukuvi alitaka kuiba ripoti ya Escrow

Viongozi wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe wamemtuhumu Waziri William Lukuvi kuwa alitaka kuiba ripoti ya kamati yao kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka...

View Article


Sakata la Escrow: Siri ya Mizengo Pinda kunusurika yatajwa

Siri ya kunusurika kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow imebainika kuwa wajumbe wa Kamati ya Maridhiano walikubaliana kumwacha kutokana na kubakiza muda mfupi na...

View Article

Usafi wa Wabunge Wahojiwa......Makinda Aonya Wala Rushwa, asema wakiswekwa...

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewaambia wabunge kuwa vitendo vyao vya kukubali kurubuniwa kwa rushwa na baadhi ya wafanyabiashara, watajikuta wanakwenda ndani na Bunge halitawatetea.   Akizungumza...

View Article

Je, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa...

Je  una  mwili  mwembamba  na  unataka  kuongeza  na  kunenepesha  mwili  wako ? Umedhoofika  kutokana  na  maradhi  mbalimbali  na  unataka  kurejesha  afya  yako  na  mwili  wako ? Unataka...

View Article


Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha...

View Article


Escrow yazamisha watatu Urais 2015

KASHFA ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, imewachafua viongozi watatu ambao walishaanza harakati za kuusaka urais kwa mwaka 2015.   Baadhi ya viongozi hao ni...

View Article

Baada ya Kutwaa Tuzo 3, Diamond kupiga Shoo Marekani

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini Marekani.   Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O...

View Article

Mmiliki wa Mattei Logde Afariki Dunia katika Ajali ya Gari

Mmiliki wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa.   Chanzo cha ajali hiyo...

View Article

Rais Kikwete Amteua Profesa Asad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)....

View Article


Serikali haitatoa msamaha kwa viongozi na watendaji walioshiriki katika...

Serikali  imesisitiza  kuwa   haitakuwa  na  msamaha   kwa   viongozi   na  watendaji   ambao   wametajwa    kwa   namna   moja   au  nyingine kushiriki   katika  uchotwaji   wa  mabilioni   ya  fedha...

View Article

ITV imeingia rasmi kwenye king'amuzi cha DSTV kwa chanel namba 293.

Hatimae kilio cha muda mrefu cha watazamaji na wapenzi wa ITV juu ya ITV kuingia kwenye king'amuzi cha DSTV kimesikika na sasa ITV imeingia rasmi kwenye king'amuzi hicho na itaonekana kwenye vifurushi...

View Article


Serikali Kuunda Mfuko Maalum wa Kupambana na UKIMWI

Serikali ipo kwenye mchakato wa kukamilisha uundwaji wa mfuko maalumu wa UKIMWI  (Trust Fund) kwa lengo la kuboresha huduma za UKIMWI zinazotolewa na pia kupunguza utegemezi wa wahisani  na kuongeza...

View Article

Diamond Platnumz Ashiriki Project ya Ebola

Nyota wa muziki Diamond Platnumz ambaye mwishoni mwa wiki ameweza kushinda tuzo tatu huko Afrika Kusini, amekuwa ni moja kati ya wasanii wakubwa Afrika walioshiriki katika project ya pamoja...

View Article


Askari wa JWTZ amtendea ukatili wa Kutisha Bibi wa miaka 60

Bibi Mariam Abdallah, mwenye umrin wa miaka 60, mkazi wa Kijiji cha Mnanila, ambaye anadaiwa kushushiwa kipigo nyumbani kwake na Askari wa JWTZ,akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...

View Article

Kigwangalla alia na viongozi wanaoshutumiwa kwa kashfa ya wizi wa Bilioni 321...

Tabia ya serikali kutochukua hatua kali za kisheria kwa baadhi ya viongozi wanaochukua mali za umma na kugawana kama karanga inawafanya wananchi kukosa imani ya serikali yao kuwa na  hasira na pengine...

View Article

Mgonjwa Amuua Mwenzake Wodini......Polisi Wamtia Pingu, mganga mkuu adai hana...

Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>