Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mmiliki wa Mattei Logde Afariki Dunia katika Ajali ya Gari

$
0
0
Mmiliki wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa.   Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa kuwa mwendo kasi uliopelekea gari hilo kuligonga gari lingine na kisha kupinduka.   Marehemu Mattei alikuwa na wenzake watatu katika gari ambao walijeruhiwa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>