STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji
kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini
Marekani.
Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni
Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia
wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC
kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton
↧