Ikulu Yasema Itatekeleza Maazimio Ya Bunge Kwa Nguvu Kubwa....Yasubiri...
SIKU chache baada ya Bunge kuhitimisha mjadala wa uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kupitisha maazimio nane ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha watendaji na...
View ArticleZitto Kabwe: Kashfa nne mbaya zaidi ya Escrow zinakuja
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amesema baada ya kukamilisha shughuli ya ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow ambayo Sh306 bilioni zilichotwa, kamati yake sasa...
View ArticleChadema Arusha Yapata Pigo
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata pigo baada ya mapingamizi yake 155 kwa wagombea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Jiji la Arusha kutupwa. Mapingamizi hayo...
View ArticleWafugaji tisa wauawa Kisarawe
Mapigano makali yamezuka kati ya jamii mbili za wafugaji katika Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na kusababisha vifo vya watu zaidi ya tisa. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kihale, Tarafa ya...
View ArticleMvua Iliyonyesha Jijini Mwanza Yasababisha Mafuriko
Mvua kubwa iliyonyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza, imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo kama inavyoonekana pichani. Baadhi ya wakazi wa jiji hilo hawana sehemu za kukaa baada ya maji...
View ArticleAl Sabab Yaua Watu 36 Nchini Kenya
Takribani watu 36 wanahofiwa kufariki katika shambulio lililotokea kwenye machimbo ya kokoto karibu na mji wa Mandera kaskazini mwa Kenya. Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limethibitisha....
View ArticleWakuu wa usalama watimuliwa Kenya
Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi waziri wa usalama Joseph Ole Lenku na kumpendekeza waziri mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi hio. Wakati huohuo mkuu wa polisi nchini Kenya...
View ArticleRais Kikwete Amuapisha CAG Mpya, Prof Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia...
View ArticleLHRC yasikitishwa na kauli ya Pinda
Kituo cha sheria na haki za binadamu kimesema kimesikitishwa na kauli aliyoitoa waziri mkuu Mh Mizengo Pinda bungeni wakati akiahirisha bunge kuwa hakuna uhakika kwamba fedha zilizokuwa katika akaunt...
View ArticleWagombea 68 CHADEMA Arumeru Mashariki wapingwa
Wagombea 68 wa nafasi mbalimbali za uongozi katika jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewekewa pingamizi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya...
View ArticleMtunisi aendelea kusota ndani baada ya kumpiga mkewe
Msanii wa filamu, Mtunisi aliyepandishwa mahakamani Jumatatu iliyopita kutokana na shtaka la kumshambulia mke wake, ameendelea kukaa ndani baada ya kukataliwa dhamana kufuatia mkewe kuwa kwenye hali...
View ArticleMdogo wake na Zari aponda uhusiano wake na Diamond, Zari asisitiza ni...
Mdogo wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia Facebook kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz ambaye anamzidi miaka 9. Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You...
View ArticleDiamond: Nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa, siwaoni wasanii...
Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia...
View ArticleKorea Kaskazini yaishutumu US kusambaza Ebola na kutumia Afrika kama sehemu...
Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwa kusambaza makusudi virusi vya ugonjwa wa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo ya kibailojia ili kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani. Taifa hilo...
View ArticleMtoto afa kwa kunyongwa na baba wa kambo Morogoro
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja mkazi wa kijiji cha Kindo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro amefariki dunia baada ya kunyongwa na baba yake wa kambo kufuatia migogoro ya kifamilia kati yake na mkewe....
View ArticleShirika la kazi la Umoja wa Mataifa (ILO) Lasema Tanzania inaongoza kwa watu...
Shirika la kazi la umoja wa mataifa (ILO) limesema pamoja na Tanzania kuwa na mikakati mingi ya kutaka kuwakwamua wananchi wake na Lindi la umaskini itakuwa vigumu kufikiwa kwa lengo hilo kutokana na...
View ArticleMmiliki wa IPTL atema cheche....Asema anafikiria mara mbilimbili kuendelea...
Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Seth Singh amesema anafikiria mara mbilimbili iwapo aendelee kuwekeza nchini au la, baada ya kuwapo kwa tuhuma kwamba alihusika na uchotaji wa...
View ArticleVigogo CHADEMA waburutwa kortini
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia wanachama tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilayani Meatu wakiongozwa na Mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho kwa madai ya kufanya vurugu na...
View ArticleTRA yazuiwa kufuta hati za malipo ya kodi ya IPTL
Bodi ya Rufani za Kodi (TRAB), imetoa amri ya zuio la muda kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu kusudio lake la kufuta hati ya malipo ya kodi iliyotokana na uuzwaji wa hisa za...
View ArticleUKAWA Yavunjika vipande vipande Mkoani Arusha baada ya vyama vinavyounda...
VYAMA vinne vya upinzani vilivyoungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeshindwa kuachiana nafasi za uongozi mkoani Arusha, katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
View Article