Takribani watu 36 wanahofiwa kufariki katika shambulio lililotokea
kwenye machimbo ya kokoto karibu na mji wa Mandera kaskazini mwa Kenya.
Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limethibitisha.
Wakazi wa eneo hilo wamesema waathirika wote wa tukio hilo ni watu
wasio Waislam ambao walikuwa wakifanya kazi katika machimbo hayo
yaliyopo Kormey kilomita 15 kutoka mji wa Mandera
↧