Bodi ya Rufani za Kodi (TRAB), imetoa amri ya zuio la muda kwa
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu kusudio lake la
kufuta hati ya malipo ya kodi iliyotokana na uuzwaji wa hisa za Kampuni
ya Kufua Umeme ya IPTL.
Uamuzi huo wa TRAB ulitolewa
na Katibu wake, Respecius Mwijage kutokana na maombi yaliyofunguliwa na
Kampuni za Pan Africa Power Solution Tanzania
↧