VYAMA vinne vya upinzani vilivyoungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeshindwa kuachiana nafasi za uongozi mkoani Arusha, katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14.
Vyama vinavyounda Ukawa ni Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, lakini vyote vimesimamisha wagombea katika mitaa ndani ya mkoa wa Arusha, kinyume na makubaliano yaliyosainiwa na
↧