Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia wanachama tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilayani Meatu wakiongozwa na Mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho kwa madai ya kufanya vurugu na kuharibu mali.
Wanachama hao pamoja na viongozi wao mbali na kukamatwa na jeshi hilo jana, wamefikishwa mahakamani, katika Mahakama ya Wilaya ya Meatu Mkoani hapa kujibu tuhuma
↧