Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Seth Singh
amesema anafikiria mara mbilimbili iwapo aendelee kuwekeza nchini au la,
baada ya kuwapo kwa tuhuma kwamba alihusika na uchotaji wa fedha katika
Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
“Nimeongelewa
sana kiasi kwamba naona kama hakuna hata amani ya kuwekeza Tanzania,
nitajifikiria mara mbili mbili.
↧