Shirika la kazi la umoja wa mataifa (ILO) limesema pamoja na
Tanzania kuwa na mikakati mingi ya kutaka kuwakwamua wananchi
wake na Lindi la umaskini itakuwa vigumu kufikiwa kwa lengo hilo
kutokana na kuwa na watu wengi wasiofanya kazi
Akizungumza
na wataalam na watafiti wa idara za kazi ajira na takwimu
kutoka mikoa mbalimbali nchini
↧