Mtoto
mwenye umri wa mwaka mmoja mkazi wa kijiji cha Kindo wilaya ya Mvomero
mkoani Morogoro amefariki dunia baada ya kunyongwa na baba yake wa kambo
kufuatia migogoro ya kifamilia kati yake na mkewe.
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paul amesema mtoto
Abdallah Hamis amenyongwa na baba yake wa kambo Zamili Shabani (27)
muda mfupi baada ya mama wa mtoto kwenda dukani
↧