Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwa kusambaza makusudi virusi
vya ugonjwa wa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo ya kibailojia
ili kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani.
Taifa hilo limelazimika kufunga mipaka yake kuzuia watalii ikiwa ni
pamoja na kumtenga kila anayeingia. Ripoti ya Korean Central News
Agency (KCNA) inadai kuwa aliyekuwa msaidizi wa Rais wa zamani
↧