Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2
akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na
wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia ushindi
wake na safari nzima ilivyokuwa.
Miongoni mwa maeneo aliyozungumzia ni pamoja na umoja unaohitajika
kwa wasanii wa Tanzania ili waweze kuwa wengi katika majukwaa ya
↧
Diamond: Nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa, siwaoni wasanii wenzangu hata Ally simuoni
↧