Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe
Zitto amesema baada ya kukamilisha shughuli ya ufisadi wa Akaunti ya
Tegeta Escrow ambayo Sh306 bilioni zilichotwa, kamati yake sasa
inaelekeza nguvu katika kashfa nyingine nne.
Zitto
alisema kamati yake itatumia mwezi huu na Januari kupitia ripoti nne
ambazo zina masilahi kwa Taifa, ikiwamo ya utoaji wa vibali vya
↧