SIKU chache baada ya Bunge kuhitimisha mjadala wa uchotwaji wa zaidi
ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kupitisha maazimio
nane ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha watendaji na wanasiasa
waliohusika, Ikulu imesema itayafanyia kazi maazimio hayo kwa uzito
mkubwa.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue,
alipozungumza na MTANZANIA juu ya hatua
↧