Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa
aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na
maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa
Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel
(75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu.
Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku
katika wodi ya majeruhi
↧