Wagombea
68 wa nafasi mbalimbali za uongozi katika jimbo la Arumeru Mashariki
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewekewa pingamizi
kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kutotimiza vigezo na masharti
ya tume ya uchaguzi.
Baadhi ya wagombea hao waliowekewa pingamizi wa CHADEMA wametafsiri
hali hiyo kama njama za kisiasa zinazofanywa na chama tawala kutaka
↧