Msanii wa filamu, Mtunisi aliyepandishwa mahakamani Jumatatu
iliyopita kutokana na shtaka la kumshambulia mke wake, ameendelea
kukaa ndani baada ya kukataliwa dhamana kufuatia mkewe kuwa kwenye hali
mbaya.
Akizungumza na Mpekuzi, muigizaji mwenzake, Batulli amesema
wanashindwa kuingilia suala hilo moja kwa moja kwa sababu limekaa
kifamilia zaidi.
“Tunafuatilia lakini unajua
↧