Kituo
cha sheria na haki za binadamu kimesema kimesikitishwa na kauli
aliyoitoa waziri mkuu Mh Mizengo Pinda bungeni wakati akiahirisha bunge
kuwa hakuna uhakika kwamba fedha zilizokuwa katika akaunt ya Escrow kama
ni za serikali ama la jambo ambalo amesema kwa kufanya hivyo ni kutaka
kuwalinda waliohuska katika wizi huo.
Akizungumza katika makao makuu ya kituo hicho mkurugenzi wa
↧