Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Jaji Mkuu ataka uwazi mahakamani....Asema Wanaangalia uwezekano wa Kesi zenye...

MAHAKAMA inaangalia uwezekano wa kuruhusu vyombo vya habari kurekodi picha na sauti kuwezesha vituo vya radio na televisheni kuripoti habari za mahakama wakati kesi zinaendelea.   Jaji Mkuu, Mohamed...

View Article


Wivu wa Mapenzi: Mwanaume Amuua Mama Mkwe wake na Mwanaye kwa kuwachoma Visu

MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.   Pia...

View Article


TBL Yamkabidhi Kamanda Mpinga Ripoti ya Upimaji Afya za Madereva nchini

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga Ripoti ya Upimaji wa...

View Article

Taswira ya Ziara ya CHADEMA Bunge la Ulaya

Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya (EP), Rainer Wieland akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana...

View Article

Laveda Arudi tena Big Brother Africa

Mwanadada aliyewakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini.    Irene Neema Vedastous 'La Veda' ameitwa tena ili kushuhudia fainali za kinyang’anyiro hicho....

View Article


Chid Benz Apandishwa Kizimbani tena

Hatma ya rapper Chidi Benz kuhusiana na kama ataachia huru au kufungwa jela kutokana na mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya, haikuweza kujulikana Alhamis hii baada ya...

View Article

Wananchi wanahofu ya kutumia Condoms kwa madai zinachangia maambukizi ya VVU

Matumizi ya kondomu bado ni ya kiwango cha chini mkoani Njombe jambo linaloelezwa na shirika la TMarc Tanzania kwamba linachangia kuyafanya maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) yawe juu. Moja ya...

View Article

Kauli ya NBC kuhusu taarifa za wizi wa fedha za wateja

Uongozi wa NBC umebaini kuwepo kwa ujumbe kupitia mitandao ya jamii unayohusisha NBC na wizi wa fedha za wateja kwa kupita mashine za kutolea fedha (ATM). Ujumbe huo huo unahamasisha wateja kutoa...

View Article


"Najisikia Raha Kukaa Uchi Niwapo na Mpenzi wangu"....Jokate

Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka  kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate...

View Article


Sakata la Mwanamke Aliyewatuhumu Watoto wa Rais Obama Kuvaa Mavazi ya Nusu...

Moja ya habari ambazo zilichukua uzito wa juu katika vyombo vya habari wiki iliyopita ilikuwa ni kitendo cha yule mama mfanyakazi wa Chama cha Republican Marekani, Elizabeth Lauten ambaye alikuwa...

View Article

Binti aliyeongoza Matokeo ya Darasa la saba Aozeshwa kwa mahari ya kilo 2 za...

Gazeti la NIPASHE limeripoti kuwa mmoja wa wanafunzi walioongoza mtihani wa Taifa wa Darasa la saba mwaka huu mwenye umri wa miaka 16 anadaiwa kuozwa kwa mwanaume mwenye miaka 50 baada ya wazazi wake...

View Article

IPTL Yazua Kizaa zaa Mahakamani.....Yaomba Meneja wa TRA Akamatwe, Zitto...

KAMPUNI ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na ile ya Independent Power Tanzania (IPTL), imeitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa gerezani kwa kufuta...

View Article

Ikulu yakanusha Katibu wa Rais kuingilia Escrow

VYOMBO vya habari nchini vimeaswa kuripoti matukio yaliyofanyiwa uchunguzi wa kina na yenye kufuata maadili na taaluma ya habari, badala ya kufanya kazi kwa kuongozwa na ushabiki vinapotekeleza...

View Article


Mtoto wa Ajabu azaliwa Dodoma....Nusu ya sura yake inafanana na binadamu na...

MKAZI wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nusu ya sura yake inafanana na binadamu na nusu ikifanana na...

View Article

Zitto Kabwe: Nina sharti moja tu kurudi Chadema

Harufu ya kuisha kwa mgogoro baina ya Zitto Kabwe na chama chake cha Chadema inanukia, lakini mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini anataka kuwapo na mazungumzo kubaini tatizo ili atakayebainika kuwa...

View Article


Watu 50 Wanusurika Kufa katika Ajali mbaya iliyotokea Mlima Nyoka jijini Mbeya

Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya leo. Lori la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey Lyimo (33) alijeruhiwa vibaya na...

View Article

ICC yatupilia mbali kesi ya Uhuru Kenyatta

Mahakama ya kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi ya jinai inayomkabili Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.  Mwendesha mkuu wa mashitaka Fatou Bensouda ameondoa kesi dhidi ya Kenyatta ambaye alidaiwa...

View Article


Kanusho la Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kwenda Nchini...

Mnamo tarehe 4 Desemba 2014, Gazeti la Raia Tanzania, Toleo Na.0259 liliandika habari iliyokuwa na kichwa cha habari “Waziri Muhongo ‘atimkia’ Norway”.   Gazeti hilo lilieleza kwamba Waziri wa Nishati...

View Article

Marejeo Kesi ya Ugaidi ya Lwakatare wa Chadema Yatupiliwa mbali na Mahakama

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali maombi ya marejeo kuhusu uhalali wa uamuzi wa Mahakama Kuu Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na...

View Article

Mtuhumiwa wa ugaidi Arusha afariki mikononi mwa polisi

Hatimaye Abdulkarimu Thabiti Hasia aliyekuwa akituhumiwa kwa ugaidi, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru alipokuwa amelazwa kwa miezi sita akiwa mikononi wa polisi.   Taarifa ya...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>