Mwanadada aliyewakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014
‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini.
Irene Neema Vedastous 'La Veda'
ameitwa tena ili kushuhudia fainali za kinyang’anyiro hicho.
Mrembo huyo amepanda pipa juzi saa 8 mchana kuelekea Sauz ambapo atakaa kwa muda wa wiki moja.
Akizungumza na mwandishi wetu, La Veda alisema ameitwa Sauz
japo bado hajajua anaenda
↧