Hatma ya rapper Chidi Benz kuhusiana na kama ataachia huru au
kufungwa jela kutokana na mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia
kukamatwa na madawa ya kulevya, haikuweza kujulikana Alhamis hii baada
ya kupanda tena kizimbani kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es
Salaam.
Chidi amepangwa kurejea tena mahakamani hapo January 15, 2015. Juzi
rapper huyo alikuwa na imani kuwa Alhamis hii
↧