Matumizi ya kondomu bado ni ya kiwango cha chini mkoani Njombe jambo
linaloelezwa na shirika la TMarc Tanzania kwamba linachangia kuyafanya
maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) yawe juu.
Moja ya sababu ni uzushi kwamba kondomu zimepandikizwa magonjwa hazifai kutumika.
Kwa
mujibu wa Meneja Mahusiano na Mawasiliano wa TMarc Tanzania, Maurice
Chirimi shirika hilo linafanya kazi ya
↧