Uongozi wa NBC umebaini kuwepo kwa ujumbe kupitia mitandao ya jamii
unayohusisha NBC na wizi wa fedha za wateja kwa kupita mashine za
kutolea fedha (ATM). Ujumbe huo huo unahamasisha wateja kutoa fedha
kwenye akaunti zao.
NBC tunapenda kuwafahamisha wateja wetu na umma kwa ujumla kwamba ujumbe
huo hauna ukweli wowote. Papo hapo, matukio ya miamala ya wizi ni
tatizo ambalo linaendelea
↧