Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo
amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha
kutovaa chochote.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu
kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo
la kujiachia.
“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa
kitu kabisa,” alisema
↧