Moja ya habari ambazo zilichukua uzito wa
juu katika vyombo vya habari wiki iliyopita ilikuwa ni kitendo cha yule
mama mfanyakazi wa Chama cha Republican Marekani, Elizabeth Lauten
ambaye alikuwa kitengo cha Mawasiliano kukosoa mavazi ya watoto wa
Obama. Habari hiyo bado ni story inayoendelea kuzungumziwa na sasa imechukua sura mpya.
Mama huyo aliwaponda Sasha na Malia
kuwa
↧
Sakata la Mwanamke Aliyewatuhumu Watoto wa Rais Obama Kuvaa Mavazi ya Nusu Uchi lachukua Sura Mpya
↧