Gazeti la NIPASHE limeripoti kuwa mmoja wa wanafunzi
walioongoza mtihani wa Taifa wa Darasa la saba mwaka huu mwenye umri wa
miaka 16 anadaiwa kuozwa kwa mwanaume mwenye miaka 50 baada ya wazazi
wake kupewa sukari kilo mbili kama mahari.
Kutokana na hali hiyo mtandao wa kuelimisha jamii kuhusu ukeketeji
Mkoani Kilimanjaro NAFGEM umefanya jitihada za kumuokoa pamoja na
wanafunzi
↧