KAMPUNI ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na ile ya Independent
Power Tanzania (IPTL), imeitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru
Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa gerezani kwa kufuta hati za
kuthibitisha ulipaji wa kodi wa kampuni hiyo katika manunuzi ya hisa za
IPTL.
Hatua ya TRA kufuta hati hizo, ilitokana na udanganyifu uliofanywa na
PAP kwa kuwasilisha nyaraka za
↧