Harufu ya kuisha kwa mgogoro baina ya Zitto Kabwe na chama chake
cha Chadema inanukia, lakini mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini anataka
kuwapo na mazungumzo kubaini tatizo ili atakayebainika kuwa alifanya
makosa awe tayari kuomba radhi hadharani.
Zitto alikiri bungeni kuwa amekuwa “akimiss”
harakati zilizokuwa zikifanywa na vyama vya upinzani wakati wa Bunge
Maalumu la Katiba,
↧