Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya leo.
Lori
la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey
Lyimo (33) alijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu
zaidi. Pichani lori hilo la mafuta liliwa limepinduka.
Wananchi wakiwa eneo la ajali.
Taswira kutoka eneo hilo la ajali.
(
↧