Ukweli Kuhusu taarifa zilizoenea kuwa Edward Lowasa kalazwa Ujerumani
Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani. Taarifa...
View ArticleMkanda wa ngono wa Mpenzi wa Diamond Platnumz "Zari The Bosslady" Wavuja!
Mkanda wa ngono unaomuonesha mpenzi wa Diamond Platnumz ambaye ni mfanyabiashara wa Uganda, Zarinah Tlale maarufu kama Zari the Bosslady akifanya mapenzi na mwanaume asiyejulikana umesambaa....
View ArticleFeza Kessy athibitisha kuachana na O’neal
It’s official, Oneza haipo tena. Feza Kessy na mpenzi wake wa Botswana, O’neal wameachana. Feza ameiambia Mpekuzi kuwa ni yeye mwenyewe ndiye alitoa taarifa hiyo kupitia Twitter japo aliamua kuifuta...
View ArticleIdris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki...
Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa kiasi kikubwa pia. Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila...
View ArticleKIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno
Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la LULU ni mmoja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM...
View ArticleWalimu waandamana Kasulu, Kigoma
Walimu zaidi ya 200 katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wameandamana na kumpa wakati mgumu mkurugenzi wa halmashauri ya Kasulu Masalu Mayaya, wakishinikiza kulipwa kwa madai yao mbalimbali...
View ArticleWanaume wanaofanyiwa ukatili waanza kujitokeza
Matukio ya wanaume kunyanyaswa na kufanyiwa ukatili na wake zao ikiwemo kumwagiwa maji ya moto na hata wengine kukatwa viungo vyao yameshika kasi mkoani Ruvuma ambapo baadhi ya wanaume wameanza...
View ArticleIdris Kushinda Big Brother Africa Leo
90% Huenda mshiriki kutoka Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan akaibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo. Tangu asubuhi Runinga ya DStv kupitia...
View ArticleWatu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa...
Nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika...
View ArticleLady Jaydee asema kamwe hatarajii kujiingiza katika siasa
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' amesema kamwe hatarajii kujiingiza katika masula ya siasa kama wanavyofanya wanamuziki wenzake. Kauli...
View ArticleRais Kikwete Apiga Tizi Mara Tatu Kwa Siku Kuimarisha Afya Yake
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa...
View ArticleMaandalizi ya Siku ya Uhuru Yapamba Moto
Maandalizi ya siku ya uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) Desemba 9, kutimiza miaka 53, yanaendelea Uwanja wa Uhuru ambapo kutakuwa na gwaride la kijeshi vikundi vya sanaa, kwaya, halaiki ya...
View ArticlePICHA KALI:Irene Uwoya Alivyolipamba Jariba La Vibe Tz akiwa Nusu Uchi
Jarida la maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amaye ni mrembo aliyebarikiwa sura na umbo matata bila...
View ArticleNimfanye Nini Huyu Mdada wa Kazi?....Alinikuta nikiwa Uchi, sasa anataka...
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani. Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife...
View ArticleBreaking News: Idris Sultan Toka Tanzania aibuka mshindi wa shilingi milioni...
Idris Sultan ndio mshindi wa Big Brother Africa Hotshots. Baada ya kutupa karata yake kwa takriban miezi miwili ndani ya jumba hilo lililopo nchini Afrika Kusini, Afrika imemchagua kuwa mshindi wa...
View ArticleMajambazi Wawili Wauawa Tanga
Watu wawili kati ya wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi wenye hasira baada ya jaribio lao la kutaka kupora fedha zaidi ya shilingi milioni 100 katika kiwanda cha kutengeneza chokaa...
View ArticleWananchi Wataka Maazimio ya Bunge Kuhusu Sakata la Escrow Yatekelezwe
Wananchi wa vijiji mbalimbali katika wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro wameitaka serikali kuharakisha utekelezaji wa maazimio ya bunge ya kuwawajibisha watu wote waliohusika na wizi wa fedha...
View ArticleRais Kikwete Ameteua Mkuu Mpya Mmoja wa Mkoa na Kuwahamisha Wengine 6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita kuanzia Jumamosi, Desemba 6, 2014. Taarifa...
View ArticleKaka Mtu Amfumania dada yake akingonoka na Njemba chumbani Kwake
Kaka mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Nicholaus amesimamia fumanizi la dada’ke ambaye ni mwanafunzi wa sekondari moja jijini Dar ambapo alimfumania chumbani na njemba mmoja sharobaro...
View ArticlePolisi atoa ushahidi kumsaidia mtuhumiwa Mahakamani
KESI ya kughushi inayomkabili mfanyabiashara, Hans Aingaya Macha imechukua sura mpya, baada ya askari Johanes Mgendi mwenye namba E 2982 kutoa ushahidi katika upande wa mtuhumiwa kwenye kesi hiyo....
View Article