Wananchi
wa vijiji mbalimbali katika wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro
wameitaka serikali kuharakisha utekelezaji wa maazimio ya bunge ya
kuwawajibisha watu wote waliohusika na wizi wa fedha za akaunti ya
Tegeta Escrow ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wanapopewa nafasi
za kusimamia majukumu mbalimbali ya serikali.
Wakiongea na Mpekuzi wananchi hao wakiwemo vijana
↧